KMC YAANZA KUWAPA MIKATABA MIPYA WALIOPANDISHA TIMU - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

KMC YAANZA KUWAPA MIKATABA MIPYA WALIOPANDISHA TIMU

Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAMTIMU ya Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, KMC imeendelea kujipanga kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baada ya kumpa mkataba mpya, mchezaji wake, Rayman Mgungila.Meneja wa KMC, Walter Harison ameiambia Bin Zubeiry Sports – Online kwamba Mgungila amesaini mkataba wa mwaka mmoja kuendelea kuitumikia KMC baada ya kutoa mchango mkubwa msimu uliopita timu ikipanda Ligi Kuu. Mgungila ni mzaliwa wa Magomeni aliyeibukia Friends Rangers chini ya Heri Mzozo pale kabla ya kuchukuliwa na timu ya vijana ya Azam ambako alifikia hadi kucheza timu ya wakubwa na kuwa sehemu ya timu iliyochukua ubingwa wa Tanzania bara mwaka 2013/2014. 
Rayman Mgungila (kulia), akipeana mkono na Meneja wa KMC FC, Water Harrison baada ya kusaini mkataba wa mwaka mmoja kuendelea kuitumikia klabu hiyo aliyoisaidia kupanda Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu huu

Na huyo anakuwa mchezaji wa tatu tu kati ya waliopandisha timu kutoka Daraja la Kwanza chini ya kocha Fre... Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More