Kocha Alliance aitolea macho KMC, ampongeza Ndayiragije - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kocha Alliance aitolea macho KMC, ampongeza Ndayiragije

Kocha wa Allince FC Malale Hamsini amesema hadi sasa kikosi chake kipo vizuri huku akisema mchezo dhidi ya KMC utakuwa na ushindani zaidi.


Malale pia amempongeza kocha wa KMC Etiene Ndayiragije kwa kuchaguliwa kuwa kocha bora wa mwezi January tuzo ambayo iliwakutanisha katika hatua ya fainali.


KMC vs ALLIANCE


“Tunajua KMC ni timu nzuri na wametoka kupoteza game ugenini mechi ya kesho itakuwa ngumu na yenye upinzani zaidi.”


“Ukiangalia KMC wanapointi 35 sisi tuna 32 kwa hiyo tunahitaji kufika sehemu walipo wao (pointi 35) lakini hiyo itawezekana ikiwa tutazipata pointi tatu kutoka kwa KMC.”


HALI YA KIKOSI CHA ALLIANCE


“Wachezaji wetu wote wazima wana afya nzuri kabisa kwa hiyo cha msingi tunawaomba kwa umoja wao watuombee tupate pointi tatu dhidi ya KMC.”


NDAYIRAGIJE KOCHA BORA MWEZI JANUARI


“Nampongeza mwalimu mwenzangu Etiene Ndayiragije kwa kushinda tuzo ya kocha bora wa mwezi, naamini wapiga kura na waliokaa kumchangua bila shaka waliangalia vigezo zaidi nani anastahil... Continue reading ->


Source: Shaffih DaudaRead More