Kocha Biashara United asaka mshambuliaji wa mkopo - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kocha Biashara United asaka mshambuliaji wa mkopo

Biashara United ilipanda daraja msimu huu, ina pointi 10 katika msimamo wa ligi baada ya kucheza michezo 13, imeshinda mmoja, imetoa sare michezo saba na imepoteza mitano huku ikishika mkia kwenye msimamo wa ligi.


Source: MwanaspotiRead More