Kocha Lyon mjanja sana aisee - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kocha Lyon mjanja sana aisee

SOCCOIA Lionel, Kocha Mkuu wa African Lyon, mjanja sana kwani amefichua amekuwa akitumia mifumo tofauti katika mechi zao za Ligi Kuu na kwa bahati imewabeba, japo anakiri ule wa 4-4-2 nyota wake hawajaunasa vyema.


Source: MwanaspotiRead More