Kocha mkuu wa Taifa Stars amefanya kazi Barcelona na Manchester United - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kocha mkuu wa Taifa Stars amefanya kazi Barcelona na Manchester United

Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini Tanzania TFF limemtangaza rasmi nyota wa zamani wa timu ya Taifa Nigeria na klabu ya Barcelona, Emmanuel Amunike kuwa kocha mkuu wa Taifa Stars kwa mkataba wa miaka miwili.


Anakumbukwa zaidi kwa mabao yake mawili aliyofunga katika fainali za kombe la dunia kule nchini Marekani, Amunike ameshinda vikombe kadhaa akiwa kama mchezaji katika nchi za Nigeria na Egypt, alipokuwa akiichezea Julius Berger F.C. na Zamalek SC.Mwaka 1994, alijiunga na Sporting Clube de Portugal, na alifanikiwa kufunga mabao 7 kwenye msimu wake wa kwanza bila kusahau bao muhimu alilowafunga S.L. Benfica kwenye dabi ya Lisbon (1–0 na kuwapa Sporting ubingwa wa kombe la Ureno mnamo mwaka 1994),
Source: Shaffih DaudaRead More


About Us

Presstz is a platform that brings together content from selected sources and places them on one portal, The content may vary from breaking news,entertainment posts, music videos, sports highlights, fashion trends etc from Tanzania and accross the globe.


Get the PressTZ Android app on Google Play

Contact us

Maelezo binafsi
Majina Emmanuel Amunike
Kuzaliwa 25 Desemba 1970 (47)
Mahali Eziobodo, Nigeria
Urefu 1.78 m (5 ft 10 in)
Nafasi Winger
Maisha ya Soka
Mwaka timu Mechi (G)
1990 Concord
1991 Julius Berger
1991–1994 Zamalek 71 (26)
1994–1996 Sporting CP 51 (17)
1996–2000 Barcelona... Continue reading ->