Kocha Mtibwa ajivua lawama kipigo cha Prisons - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kocha Mtibwa ajivua lawama kipigo cha Prisons

Kocha wa Mtibwa,  Zubeiry Katwila amesema ushindi wa Prisons dhidi  ya timu yake ya Mtibwa wa mabao 2-0 jana Jumanne ulitokana na umakini wa wachezaji wao, lakini wachezaji upande wao walikosa umakini hususani kwenye umaliziaji mipira ya mwisho


Source: MwanaspotiRead More