Kocha Pluijm amkumbuka Chilunda - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kocha Pluijm amkumbuka Chilunda

KOCHA wa Azam, Hans Pluijm, amekiri kukosekana kwa straika wake chipukizi, Shaaban Idd Chilunda katika mechi yao dhidi ya Gor Mahia kulichangia kupata ushindi hafifu, japo wanafurahia wametinga fainali ya Kombe la Kagame.


Source: MwanaspotiRead More