Kocha Prisons ambipu Mbelgiji wa Simba - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kocha Prisons ambipu Mbelgiji wa Simba

PRISONS Mbeya ilimaliza msimu uliopita wa Ligi Kuu Bara kwa kushika nafasi ya nne, lakini Kocha Mkuu wa timu hiyo, Abdallah Mohamed ‘Bares’ amesema anatamani msimu ujao wanyakue ubingwa unaoshikiliwa kwa sasa na Simba inayonolewa na Mbelgiji, Patrick Aussems.


Source: MwanaspotiRead More