Kocha wa Angola mipango kibao aitaka tiketi ya Kombe la Dunia - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kocha wa Angola mipango kibao aitaka tiketi ya Kombe la Dunia

Kocha wa Angola, Pedro Dos Santos amesema anatengeneza kikosi imara kitakachofanya vizuri katika Fainali za Afcon pamoja na kupata tiketi ya kucheza Kombe la Dunia Brazil.


Source: MwanaspotiRead More