Kocha wa Taifa Stars afunguka baada ya kipigo cha goli tatu dhidi ya Cape Varde (Video) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kocha wa Taifa Stars afunguka baada ya kipigo cha goli tatu dhidi ya Cape Varde (Video)

Tanzania imeshacheza mechi 3 katika Kundi L imetoka sare mara 2 na kupoteza mchezo 1. Imefungwa magoli manne (4) na kufunga goli moja tu.


View this post on InstagramAlichokisema kocha wa @taifastars_ Emmanuel Amunike baada ya mchezo dhidi ya Cape Verde.


A post shared by Tanzania Football Federation (@tanfootball) on Oct 12, 2018 at 12:33pm PDT

Imebakiza mechi nyingine tatu ambapo itarudiana na timu zote tatu, Cape Verde na Uganda zitakuja uwanja wa taifa Dar huku Stars ikisafiri kwenda Lesotho kucheza na timu ya taifa hilo.


Taifa Stars imekukubali kipigo cha mabao 3-0 kutoka kwa Cape Verde katika mchezo uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa Capo, Mjini Praia.


Mabao ya Cape Verde mawili yaliyofungwa na mshambuliaji Ricardo Gomes kabla ya Yanique Tavares kuhitimisha kwa bao tatu.


Mshambuliaji wao, Ricardo Gomes anayekipiga nchini Serbia katika klabu ya Rartizan ndiye alipachika mabao hayo katika dakika ya 16 na 23 akitumia vizuri uzembe wa mabeki wa... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More