Kocha Zanzibar aita 38 kujiandaa Chalenji - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kocha Zanzibar aita 38 kujiandaa Chalenji

Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Zanzibar ya Vijana chini ya umri wa miaka 20, Salum Ali Haji, ametangaza kikosi cha awali cha wachezaji 38, kwa ajili ya kujiandaa na Mashindano ya Cecafa ya Vijana yanayotarajiwa kufanyika Uganda Desemba 15-25, 2018.


Source: MwanaspotiRead More