Koffi Olomide azuiwa kutumbuiza A.Kusini - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Koffi Olomide azuiwa kutumbuiza A.Kusini

Kumbi mbili zimefuta tamasha za mwanamuziki wa DRC Koffi Olomide, ambaye hivi karibuni alipatikana na hatia ya kumbaka msichana aliyekuwamnenguaji katika bendi yake wakati alipokuwa na umri wa miaka 15.


Source: BBC SwahiliRead More