KOFI ANNAN KUZIKWA LEO ACCRA GHANA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

KOFI ANNAN KUZIKWA LEO ACCRA GHANA

Na Leandra Gabriel, blogu ya jamiiMWILI wa aliyekuwa katibu  Mkuu wa Umoja wa Mataifa Kofi Atta Annan (80) aliyefariki dunia Agosti 18 katika hospitali ya Bern nchini Uswizi baada ya kuugua kwa muda mfupi utazikwa leo katika mji mkuu wa nchi hiyo.
Baada ya kuagwa kwa siku mbili na kumalizika kwa taratibu za kimila, Kofi atapumzishwa kwenye makaburi ya jeshi nchini humo, Marais wastaafu wa nchi za Ujerumani, Finland na Uswizi watashiriki katika kumpumzisha kiongozi hiyo.
Rais wa nchi hiyo Nana Akufo Addo ameeleza kuwa msiba huo ni wa kitaifa na hii ni kutokana na mchango mkubwa wa kiongozi huyo katika bara la Afrika, Pia Marais wa nchi jirani za Ivory coast, Liberia, Namibia, Ethiopia na Niger wamethibitisha kuhudhuria katika mazishi hayo. 
Kofi alikuwa mwafrika wa kwanza kutoka Kumasi nchini Ghana kuchaguliwa kuwa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa na alihudumu kwa awamu mbili kuanzia Januari 1997 hadi Desemba 2016.
Kofi alizaliwa  Aprili 8, 1938 huko Kumasi nchini Ghana na alisoma taaluma... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More