Kombe la Dunia 2018 Croatia 1-2 England: Mashabiki walivyosherehekea kuwashinda England nusufainali, London 'walivyoomboleza' - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kombe la Dunia 2018 Croatia 1-2 England: Mashabiki walivyosherehekea kuwashinda England nusufainali, London 'walivyoomboleza'

Mashabiki wa Croatia walisherehekea usiku kucha baada ya taifa lao kuwaondoa England kutoka kwa michuano ya Kombe la Dunia Urusi na kufuzu kwa fainali kwa mara yao ya kwanza kabisa.


Source: BBC SwahiliRead More