Kombe la Dunia 2018: Kocha wa Uhispania Fernando Hierro ajiuzulu kabla ya kumaliza mwezi - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kombe la Dunia 2018: Kocha wa Uhispania Fernando Hierro ajiuzulu kabla ya kumaliza mwezi

Hierro alipewa kazi ya kuwa kocha wa muda baada ya kocha wa taifa hilo Julen Lopetegui kufutwa kazi mkesha wa kuanza michuano hiyo.


Source: BBC SwahiliRead More