Kondoa walia na miundombinu mibovu ya maji - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kondoa walia na miundombinu mibovu ya maji

WAKAZI wa kata ya Chemchem wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma wameiomba serikali kuwatatulia kero ya muda mrefu ya uchakavu wa  miundombinu ya mabomba ya maji ambayo toka yawekwe mwaka 1961 hayajafanyiwa ukarabati wowote. Anaripoti Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Wakizungumza na vyombo vya habari kwa nyakati tofauti kuhusiana na kero hiyo, Mariam Said mkazi wa mtaa ...


Source: MwanahalisiRead More