KONGAMANO LA AJIRA BINAFSI LAFANYIKA MKOANI MOROGORO - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

KONGAMANO LA AJIRA BINAFSI LAFANYIKA MKOANI MOROGORO

Mkuu wa Wilaya ya Gairo, Mhe. Siriel Mchembe, akifungua kongamano la siku moja la ajira binafsi mjini Morogoro juzi, lililoandaliwa na Taasisi ya WICOF inayojishughulisha na masuala ya kijamii hususani, walemavu na watoto mkoani humo .Washiriki wa kongamano hilo.Kongamano likiendelea.Mtoa mada Mogani Isdori akitoa mada kuhusu ulipaji kodi.Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Trumark, Agnes Mgongo akitoa mada kuhusu matumizi ya mitandao.Mwanachuo cha Jordan cha mjini Morogoro, Aviva Chrispin akiuliza swali.Mjasiriamali, Neema Heri akitoa ushuhuda wa mafanikio yake.Mhadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo SUA, Dk.Suleiman Rashid akitoa mada kuhusu umuhimu wa vifungashi kwenye Tangaza na kuongeza thamani ya bidhaa.Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka akizungumza katika kongamano hilo akizungumzia umuhimu wa vifungashio na kuongeza thamani ya bidhaa.Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka akiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi wa kongamano hilo, Mkuu wa Wilaya ya Gairo Mhe. Mchembe pamoj... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More