KONGAMANO LA WAHITIMU WA CHUO KIKUU MZUMBE LAFANA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

KONGAMANO LA WAHITIMU WA CHUO KIKUU MZUMBE LAFANA

Rais wa Baraza la Wahitimu Chuo Kikuu Mzumbe, Ludovick Utoh, akizungumza katika mkutano uliowakutanisha wahitimu wa waliosoma chuoni hapo. Picha zote Kajunason/MMG.Spika wa Bunge mstaafu, Anne Makinda, ambaye alikuwa mgeni rasmi katika mkutano uliowakutanisha wahitimu wa waliowahi kusoma Chuo Kikuu Mzumbe. Makamu Mkuu Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. Lughano Kusiluka, akizungumza katika mkutano uliowakutanisha wanafunzi waliowahi kusoma na kuhitimu katika chuo hicho.Makamu Mkuu wa Chuo Taalum, Prof. Ganka Nyamsogoro, akizungumza katika mkutano huo.
Mmoja ya wahitimu wa Chuo Kikuu Mzumbe 2013 akitoa ushuhuda wake jinsi chuo kilivyomjenga. Baadhi ya washiriki wa mkutano huo.Baadhi ya washiriki wa mkutano huo. Mwenyekiti wa Baraza Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. Mathew Luhanga, akimkabidhi cheti cha shukrani Spika wa Bunge mstaafu, Anne Makinda, wakati wa mkutano uliowakutanisha wahitimu waliowahi kusoma chuoni hapo. Kulia ni Makamu Mkuu wa chuo hicho, Prof. Lughano Kusiluka.Rais wa Baraza la Wahitimu Chu... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More