KONGAMANO UWT TAIFA ZANZIBAR LAFANA,MAKAMU WA RAIS ATOA NENO - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

KONGAMANO UWT TAIFA ZANZIBAR LAFANA,MAKAMU WA RAIS ATOA NENO


 Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa,Dk.Gaudentia Kabaka akimkabidhi zawadi ya Saa yenye picha yake Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan (Kulia) katika Kongamano la Wanawake Zanzibar la Kumpongeza Rais Dk.Shein kwa Utekelezaji wa Ilani ya CCM kwa miaka 3 kuanzia Mwaka 2015/2018 likiendelea katika hafla iliyofanyika kwenye Viwanja vya Hotel ya Verde Mjini Unguja Zanzibar Jana.Picha Zote na Elisa Shunda

MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU AWAONGOZA WANAWAKE WA UWT TANZANIA KATIKA KONGAMANO LA KUMPONGEZA RAIS DK.SHEIN KWA KUTIMIZA MIAKA MITATU YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM YA MWAKA 2015/2018 MJINI UNGUJA.

 Pwani Kucheleeeeeeeeeee

  Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa,Dk.Gaudentia Kabaka akiongozana na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan (Kulia) katika Kongamano la Wanawake Zanzibar la Kumpongeza Rais Dk.Shein kwa Utekele... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More