KOPAFASTA KUWAPA SHAVU WASANII WA SANAA ZA UFUNDI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

KOPAFASTA KUWAPA SHAVU WASANII WA SANAA ZA UFUNDI

Na Agness Francis blogu ya jamii. 
KAMPUNI ya kutoa mikopo ijulikanayo kama Kopa fasta imeamua kuunga mkono juhudi za wasanii wa sanaa za ufundi kwa kutoa fursa ya kutoa mikopo kwao ili kujiendeleza katika kazi zao za kisanaa zinazowapatia kipato hapa nchini. 
Akizungumza na vyombo vya habari leo Jijini Dar es Salaam Meneja wa Kopa Fasta Patrick Kang'ombe wakati wa uzinduzi wa mradi huo amesema kuwa kampuni hiyo inatoa mikopo kupitia makundi mbalimbali kwa wanachama ambao wamesajiliwa na wa miradi ya TACIP na PSGP inayotekelezwa na kampuni ya DataVision International kwa kushirikiana na taasisi na wizara za serikali. 
Kang'ombe amesema leongo la Kopa fasta ni kusaidia kuboresha sekta zisizo rasmi kama wasanii wa sanaa za ufundi ,ili kuwasaidikundia kuwa mikopo ya fedha na vitendea kazi, pamoja na kujenga uwezo kupitia mafunzo ya usimamizi wa fedha, biashara na uwekezaji. 
"Huduma yetu ni tofauti, kwani tumechagua sekta ambazo zimesahaulika na zimekuwa zikichukuliwa kuwa hazikop... Continue reading ->Source: Issa MichuziRead More