Koscielny aleta kasheshe kubwa Emirates - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Koscielny aleta kasheshe kubwa Emirates

BUNDI ameanza kuunguruma mapema pale Arsenal. Nahodha wa timu, Laurent Koscielny amegoma kusafiri na timu hiyo kwa ajili ya ziara ya maandalizi ya msimu mpya Marekani na Arsenal tayari imemtunishia msuli staa huyo.


Source: MwanaspotiRead More