KOVALEV AMDUNDA ANTHONY YARDE KWA KO RAUNDI YA 11 URUSI - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

KOVALEV AMDUNDA ANTHONY YARDE KWA KO RAUNDI YA 11 URUSI

Anthony Yarde akiwa chini baada ya kuangushwa na Sergey Kovalev raundi ya 11 katika pambano la ubingwa wa dunia usiku wa jana ukumbi wa Traktor Sport Palace, Chelyabinsk nchini Urusi. Kovalev alishinda kwa Knockout (KO) raundi ya 11 na kufanikiwa kutetea taji lake la WBO uzito wa Light Heavy PICHA ZAIDI GONGA HAPA ... Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More