KOZI MPYA YA UCHAMBUZI YAKINIFU KUPITIA VIASHIRIA HATARISHI KATIKA MFUMO WA UTOAJI MIKOPO YAZINDULIWA LEO JIJINI DAR - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

KOZI MPYA YA UCHAMBUZI YAKINIFU KUPITIA VIASHIRIA HATARISHI KATIKA MFUMO WA UTOAJI MIKOPO YAZINDULIWA LEO JIJINI DAR

MKURUGENZI Mtendaji wa Taasisi ya Mabenki Tanzania (TIOB), Patrick Mususa(kulia), akizungumza wakati wa kumkaribisha Meneja wa Usimamizi wa Taasisi za Fedha wa Benki Kuu ya Tanzania(BOT), Nassor Omar,kuzindua Kozi mpya ya Uchambuzi yakinifu kupitia viashiria hatarishi katika Mfumo wa Utoaji Mikopo(The basics of Credit Risk Modelling) kwa Wakurugenzi Wakuu wa Mabaenki na Taasisi za Fedha,uliofanyika Dar es Salaam, jana.


Source: Issa MichuziRead More