KROENKE ATAKA KUJIMILIKISHA ARSENAL YOTE PEKE YAKE - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

KROENKE ATAKA KUJIMILIKISHA ARSENAL YOTE PEKE YAKE

Stan Kroenke ametoa ofa ya kununua hisa zaidi za Arsenal katika dili ambalo litafanya thamani ya klabu iwe pauni Bilioni 1 

MTIRIRIKO WA HISA ZA ARSENAL KSE (inamilikiwa na Stan Kroenke) - hisa 41,743 (asilimia 67.09)Red and White Securities (Usmanov) - hisa 18,695 (asilimia 30.04Hisa nyingine - 1,781 (asilimia 2.87)JUMLA YA HISA - 62,219 
BILIONEA Mmarekani, Stan Kroenke anataka kujimilikisha Arsenal yote, baada ya mwanahisa huyo mkuu wa klabu kutoa ofa ya Pauni Milioni 550 kununua hisa za Alisher Usmanov. 
Kroenke ambaye tayari anamiliki asilimia 67 kupitia kampuni yake ya Kroenke Sports Enterprise group (KSE), anasubiri majibu ya Usmanov juu ya kununua asilimia 30 ya hisa za Mrusi huyo.
Kroenke amesema katika taarifa yake kwenye soko la hisa la London kwamba anaamini klabu hiyo itanufaika ikiwa inamilikiwa naye binafsi na mwanawe wa kiume, Josh atapewa majumumu zaidi ya uendeshaji.
Kroenke Jr anaweza akapewa nafasi ya kuwa Mtendaji Mkuu wa klabu iwapo Ivan... Continue reading ->

Source: Bin ZuberyRead More