KTO YAPONGEZWA KWA KUCHANGIA JITIHADA ZA SERIKALI KWENYE VYUO VYA MAENDELEO YA WANANCHI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

KTO YAPONGEZWA KWA KUCHANGIA JITIHADA ZA SERIKALI KWENYE VYUO VYA MAENDELEO YA WANANCHI

Na Francis Daudi, Blogu ya jamiiMAFUNZO ya uwezeshaji kwa wakufunzi wa walimu wa elimu ya awali kutoka Vyuo vya Maendeleo ya Wananchi yaliyoandaliwa na shirika lisilo la Kiserikali la Karibu Tanzania Organization (KTO) yamehitimishwa.
Akizungumza katika hafla ya kufunga mafunzo hayo,  Mkurugenzi wa Elimu ya mafunzo ya ufundi (TVET) Dkt. Noel Mbonde  amesema, kuwa Serikali inaunga mkono jitihada zinazofanywa na taasisi hiyo ya Karibu Tanzania Organization na kwamba miradi ya namna hiyo na kueleza kuwa yanayofanywa na shirika hilo ni sehemu ya mipango ya Wizara ya Elimu na mafunzo ya ufundi kwa kuwa Vyuo Vya Maendeleo ya Wananchi vina nafasi kubwa katika kulipeleka taifa katika uchumi wa viwanda.
Aidha, Serikali  imeahidi kushirikiana na KTO katika shughuli wanazozifanya ambazo zina malengo ya kuchangia jitihada za Serikali ya Awamu ya Tano kwenye kuviimarisha Vyuo Vya Maendeleo ya Wananchi ili viwe na  tija kubwa kwa vijana wengi wenye kutokea kwenye familia za  Watanzania wenye vipa... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More