Kuachwa Kawaida Sana ;- Gigy Money - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kuachwa Kawaida Sana ;- Gigy Money

Mwanadada Gigy Money amejikuta akimtolea povu zito shabiki baada ya kuweka comments katika ukurasa wake wa instagram inayomsemea baba mzazi wa mtoto wake.


Gigy Money ambae hivi karibuni amekuwa akionekana na wanaume tofauti na mo jya ambae ndio baba wa mtoto wake amewashangaza watu wengi baada ya kuweka picha akiwa nae huku akiandika captuon kwamba anampenda sana baba wa mtoto wake.


hata baada ya moja ya mashabiki kuongea kuhusu swala la  Gigy kuwahi kusema kuwa amemuacha mo Jay Gigy Money alijikuta akimjibu kwa hasira na kuandika


“hehee kuavchwa ni kawaida sana, i spend time with him a lot na nimeenjoy a lot , its time for another beautiful lady to enjot him…mm namuenjoy him a lot through myra., i mean nimezaa nae na pia ni baba wa mwanangu kwaio i will always be the first  forever bitch ,kaachwa boss wako misa unashngaa mimi aambae sirogi kawaida.”


The post Kuachwa Kawaida Sana ;- Gigy Money appeared first on Ghafla!Tanzania.... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More