Kuanguka Trump, mwanasheria mkuu ang’oka - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kuanguka Trump, mwanasheria mkuu ang’oka

MWANASHERIA Mkuu wa Marekani, Jeff Sessions amejiuzulu wadhifa huo akitekeleza agizo la Rais Donald Trump, lililomtaka kuachia ngazi. Yanaripoti Mashirika ya Kimataifa …(endelea). Trump alitoa agizo hilo jana tarehe 7 Novemba 2018, ikiwa ni masaa 24 baada ya chama chake cha Republican kupoteza udhibiti wake katika Bunge la Wawakilishi, kufuatia kuanguka katika uchaguzi wa kati ...


Source: MwanahalisiRead More