Kubenea ang’ata na kupuliza mpango wa Maendeleo ya Taifa - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kubenea ang’ata na kupuliza mpango wa Maendeleo ya Taifa

MBUNGE wa Jimbo la Ubungo, Saed Kubenea (Chadema) amesema kuwa mpango uliowasilishwa leo na Waziri wa Fedha na Mipango kwa wabunge wote wa kamati za kudumu za bunge kuwa ni mzuri. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Muda mfupi baada ya kuwasilishwa kwa mapendekezo ya ya serikali  ya mpango wa maendeleo wa taifa na ya  kiwango cha ...


Source: MwanahalisiRead More