Kubenea, Paresso, wanamtumia Lissu kuomba kura - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kubenea, Paresso, wanamtumia Lissu kuomba kura

WaBUNGE wa Chadema – Saed Kubenea (Ubungo) na Cecilia Paresso (Viti Maalum), mkoani Arusha – wamemtumia mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, kumuombea kura mgombea udiwani wa kata ya Baray, wilayani Karatu, mkoani Arusha. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Tukio hilo lilitokea leo jioni wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika kijiji cha Qangded, kilichopo ...


Source: MwanahalisiRead More