KUBWA KULIKO YAFANA; ROSTAM AZIZ AIPA YANGA SH MILIONI 200, GSM MILIONI 300 NA MAJALIWA… - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

KUBWA KULIKO YAFANA; ROSTAM AZIZ AIPA YANGA SH MILIONI 200, GSM MILIONI 300 NA MAJALIWA…

Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
MFANYABIASHARA bilionea, Rostam Aziz ametoa kiasi cha Sh. Milioni 200 kuichangia klabu ya Yanga SC ya Dar es Salaam ifanikishe zoezi la usajili wa kuunda kikosi imara cha msimu ujao.
Ofa hiyo ya Rostam, Mbunge wa zamani wa Igunga, Tabora na aliyekuwa kuwa Mweka Hazina wa CCM imetangazwa Jumamosi katika tamasha la Kubwa Kuliko lilifanyika ukumbi wa Diamond Jubilee mjini Dar es Salaam.
Pamoja na Rostazm, mfanyabiashara mwingine Ghalib kupitia kampuni yake ya GSM ameichangia klabu hiyo Sh. Milioni 300.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, aliyekuwa mgeni rasmi katika Kubwa Kuliko iliyotikisa mji Jumamosi hii ametoa Sh. Milioni 10.
Rais mstaafu wa awamu ya Nne, Jakaya Mrisho Kikwete aliyehudhuria pia shughuli hiyo kwa upande wake ametoa kiasi cha Sh. Milkioni 5.
Mdhamini wa klabu ya Simba SC, Hamisi Kilomoni naye aliibukia kwenye Kubwa Kuliko na kuchangia Sh. 500,000.
Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Kamati ya Hamasa na Uchangishaji ya Yanga Anthony Mavun... Continue reading ->
Source: Bin ZuberyRead More