#KuelekeaKombaeLaDunia: Mambo muhimu ya kufahamu - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

#KuelekeaKombaeLaDunia: Mambo muhimu ya kufahamu

Tumebakiza mwezi mmoja kuelekea kuanza kwa michuano ya kombe la dunia nchini Russia, tunaanza na wewe kuhesabu siku hizo huku tukikuletea mambo mbalimbali yahusuyo fainali hizo zinazotarajiwa kuteka hisia za wakazi wa sayari ya dunia.


Ni michuano inayokutanisha timu za taifa zilizofuzu kutoka nchi wanachama za Fifa. Michuano hiyo hufanyika kila baada ya miaka minne tangu ilipoanzishwa mwaka 1930. Haikufanyika mwaka 1942 na mwaka 1946 kutokana na zahama ya vita vya pili vya dunia.


Bingwa mtetezi wa sasa wa kombe la dunia ni Ujerumani ambaye alitwaa taji hilo mwaka 2014 nchini Brazil baada ya kuifunga Argentina kwenye mchezo wa fainali.


Timu shiriki zinapatikana kupitia mtindo wa kufuzu ambapo mchakato wake huchukua miaka mitatu na washindi hupata tiketi za kushiriki fainali hizo.


Nchi 32 hupata tiketi ikiwemo nchi mwenyeji ambayo hufuzu moja kwa moja, fainali hizo hufanyika kwa kipindi cha mwezi mmoja. Kombe la dunia limefanyika mara 20 ambapo mpaka sasa nchi nane zimetwaa taji hilo len... Continue reading ->


Source: Shaffih DaudaRead More