Kuishi Bongo kumemshinda mzungu wa Lyon - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kuishi Bongo kumemshinda mzungu wa Lyon

MAISHA ya Bongo yamemshinda straika wa kimataifa wa African Lyon, Victor Da Coast baada ya kuona uongozi wa timu hiyo, umeshindwa kumlipa mshahara wa miezi miwili ameona isiwe tabu akaamua kurejea nchini kwao Ufaransa ili kuendelea na mambo mengine.


Source: MwanaspotiRead More