Kumbe,Kibadeni alitoswa Yanga ndio akatua Simba - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kumbe,Kibadeni alitoswa Yanga ndio akatua Simba

KABLA ya Abdallah Kibaden ‘King’ kutua Simba kwa mara ya kwanza mwaka 1970, alianzia Yanga ambako alikuwa anafanya mazoezi na timu hiyo, lakini hakuna aliyekiona kipaji chake kwa wakati huo na kumfungulia mlango.


Source: MwanaspotiRead More