KUMBUKUMBU YA MIAKA MITANO YA MAMA FORTUNATA JOSEPH MSOKA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

KUMBUKUMBU YA MIAKA MITANO YA MAMA FORTUNATA JOSEPH MSOKA

MPAKA TUTAKAPOKUTANA TENA KWENYE MAHALI PENYE ENZI NA UTUKUFU

 Mama Fortunata Joseph Msoka; tunakumbuka muda wote tulipokuwa nawe tukifurahi pamoja. Tunatamani Mungu angetupa upendeleo ukarudi hata kwa muda tu tukakaa na kuzungumza kama ulivyokuwa ukifanya; ukitufundisha mema, kushika Imani na kuwapenda ndugu na marafiki. 
Kwa hakika ulikuwa mtu pekee sana katika maisha yetu sisi watoto wako. 
Ni miaka mitano sasa lakini bado hatujaamini kweli umeondoka kwenye maisha yetu. Kila tukikuita hauitiki, tukija nyumbani haupo; ni ukweli ambao ni mchungu kumeza na maumivu yasiyoisha. Daima utadumu kwenye mioyo yetu watoto wako Paul na Constatine Msoka, Jackiline na Rose Mdami. 
Wajukuu wamekosa wa kumtania wamebaki kulibeba jina lako kwenye nyoyo zao. Hakika upendo wako hauta sahaulika kwa watu wote ulioshi nao; majirani, marafiki, WAWATA Parokia ya Ukonga na wanafunzi wako. Tunasema Buriani uendelee kulala usingizi wa Amani na Mungu Mwenyezi akaitulize roho yako na ya Baba yetu mahali p... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More