KUMBUKUMU YA MAREHEMU MAMA HELLEN BYARUGABA - KUZALIWA 19/03/1944- KUFARIKI 07/08/2014 - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

KUMBUKUMU YA MAREHEMU MAMA HELLEN BYARUGABA - KUZALIWA 19/03/1944- KUFARIKI 07/08/2014

NI MIAKA MINNE SASA TANGU UTUTOKE MPENDWA WETU, MAMA HELLEN HUBERT BYARUGABA. INGAWA ULITUTOKA GHAFLA BILA NENO LOLOTE KWETU, MATENDO YAKO YATABAKIA DAIMA NDANI MWETU NA AMANI NA UPENDO ULIVYOTUACHIA VITAENDELEA KUWA MWONGOZO KWETU. JAPOKUWA HAUPO NASI KIMWILI LAKINI KIROHO BADO TUPO NAWE.  MAMA TULIKUPENDA SANA NA TUTAENDELEA KUKUPENDA DAIMA.UNAKUMBUKWA SANA NA MUME WAKO LEOPOLD BYARUGABA, WATOTO WAKO HENRY, LILIAN, LEVINA, LEODGAR-ALUTA, JIMMY PAMOJA NA FAMILIA ZAO WOTE NA MARAFIKI PIA
BWANA ALITOA NA BWANA ALITWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE.AMINA... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More