Kumi la mwisho katika Mwezi wa Ramadhani - 8020 Fashions | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kumi la mwisho katika Mwezi wa Ramadhani

ALLAHUMMA INNAK ‘AFFUWWUN TUHIBBUL ‘AFWA FA’FU ‘ANNI
O ALLAH
You Are The One Who
Pardons Greatly, And Loves
To Pardon,
So Pardon Me.
AMEEN

Kumi la mwisho la mwezi mtukufu wa ramadhani dio kumi iliyoteremka Qur-an na ndilo kumi tukufu kuliko yote nalo ni kumi ambalo Mtume (swalla Allahu alayhi wasallam)

alikuwa akijitahidi zaidi katika kufanya ibada kuliko makumi mengine yote.na ndilo kumi linalopatikana usiku wenye cheo usiku Wa Laylatul Qadir ambao hutarajia kuwa tarehe 21,23, 25, 27, na 29, ambapo yeyete atakaekutwa anafanya ibada ndani ya usiku huo ni sawa sawa na mtu aliye fanya ibada miezi elf takiribani miaka 89, Kutoka kwa Bibi Aysha (radhi za Allah ziwe juu yake) amesema Alikuwa Mtume swalla llahu ‘alayhi wasallam ) wakati kumi la mwisho linapoingia alikuwa akienda kukaa itikaf msikitini na, akikesha usiku kwa kufanya ibada, akiamsha familia yake na akikaza shuka yake na alikuwa akijifunga kibwebwe. (kwa maana alikuwa akijibidiisha na kufanya Ibada).”

Na katika had... Continue reading ->


Source: 8020 FashionsRead More