Kuna dogo anataka jezi ya Hazard Chelsea - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kuna dogo anataka jezi ya Hazard Chelsea

KINDA wa Chelsea, Callum Hudson-Odoi ameripotiwa kutaka apewe jezi yenye namba 10 inayovaliwa na Eden Hazard kwenye timu hiyo ikiwa ni sehemu ya masharti yake ili asaini mkataba mpya wa kubaki Stamford Bridge.


Source: MwanaspotiRead More