“Kuna faida kubwa kuwa na kocha mwenye jina kubwa”-Haji Manara - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

“Kuna faida kubwa kuwa na kocha mwenye jina kubwa”-Haji Manara

Mchezaji wa zamani wa Nigeria Emmanuel Amunike ametangazwa rasmi kuwa kocha mpya wa timu ya soka ya Taifa ‘Taifa Stars’ pamoja na timu za taifa za vijana kuanzia jana Jumatatu August 6, 2018 kwa mkataba wa miaka miwili ambao unaweza kuongezwa.


Haji Manara amesema kuna faida kubwa ya kuwa na kocha wa timu ya Taifa mwenye jina kubwa kwenye ulimwengu wa soka kama Amunike. 


“Kuna faida kubwa kumchukua kocha mwenye jina kubwa kama Emmanuel Amunike, moja ya faida hizo ni macho ya mawakala yatakuwa yanaitazama Tanzania”-Haji Manara.


“Amunike ni jina kubwa sana, mechi yake kubwa ya kwanza akiwa na timu ya taifa ya Nigeria ni fainali ya AFCON Nigeria ilipocheza na Zambia mwaka 1994.”“Katika fainali za mwaka huo Amunike hakuwa amecheza mechi zote kabla ya fainali, mchezo wa fainali Amunike akapangwa na akafunga magoli yote mawili kwa mguu wa kushoto Nigeria ikashinda ubingwa.”


“Kwa hiyo ni mchezaji kocha mwenye jina kubwa enzi za uchezaji wake. Ana faida kubwa, kuwahi kuch... Continue reading ->


Source: Shaffih DaudaRead More