Kuna sababu mbili za kuanza na Farid leo dhidi ya Burundi - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kuna sababu mbili za kuanza na Farid leo dhidi ya Burundi

Naweza kuelewa kwanini Farid alikaa benchi Bujumbura. Ni kwa sababu tulikuwa ugenini na nafasi yake ilikwenda kwa kiungo mmoja. Hata hivyo, kwa Dar es Salaam leo tunapaswa kwenda na 4-3-3. Tunapaswa kuanza na viungo watatu na watu watatu kule mbele.


Source: MwanaspotiRead More