KUPOTEZA UAMINIFU NI SAWA NA KIOO KILICHOVUNJIKA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

KUPOTEZA UAMINIFU NI SAWA NA KIOO KILICHOVUNJIKA

Na Samuel Nathaniel Sasali.
Kupoteza Uaminifu ni Sawasawa na Kioo Kilichovunjika hakioneshi vizuri. 
Siku moja nakumbuka nikiwa na Mkurugenzi wa Mbulu, Manyara Haudson Kamoga @hudsonkamoga Wakati huo tukitangaza wote aliwahi sema Nanukuu "Maisha yetu yangekuwa yanaandikwa kama Kitabu ili kitumike kwa ajili ya wengine kujigunza basi kuna baadhi ya Kurasa tungetamani zisisomwe kabisa, ama zisomwe polepole, ama watu waziruke wasizisome kabisa sababu pengine kurasa hizo nizaonesha sehemu kubwa na maamuzi ya kujinga yaliyopelekea kupoteza kuaminiwa kwetu kwenye familia ama kwenye jamii" mwisho wa kunukuu.
Zipo nyakati unatamani urudishe nyuma uka edit kwanza maujinga ujinga uliyoyafanya ambayo yakapelekea katika gharama kubwa sana kuaminiwa tena. Ni kama siku ambayo uliamua ofisini ki foji saini ya mtu ili upate hela ya mafuta ya gari yako halafu ukakamatwa baadae, ni kama siku ambayo ulikataa kwenda darasani ukatengeneza cheti baadae ukajilaumu, ni kama siku ulikuwa unatimiana picha zako za ho... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More