Kutamka majina ya wachezaji hawa nenda kwanza kozi - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kutamka majina ya wachezaji hawa nenda kwanza kozi

Sheria za mpira zinahitaji jina la mchezaji liwe limeandikwa kwenye jezi sehemu ya mgongoni hasa kwa mechi za kiushindani. Lakini, shida inakuja kwenye baadhi ya majina ni magumu mno kuyatamka na watangazaji, wachambuzi na hata mashabiki wamekuwa wakipata shida kuyatamka na kuishia kutaja tu namba zilizopo kwenye jezi wanazova wachezaji hao.


Source: MwanaspotiRead More