KUTI KAVU: Valverde inakula kwake Barcelona - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

KUTI KAVU: Valverde inakula kwake Barcelona

KISEMWACHO ni hiki, Kocha wa Barcelona, Ernesto Valverde muda wowote anaweza kufungashiwa virago vyake na kuonyeshwa mlango ulioandikwa ‘exit’ huko Nou Camp kufuatia kichapo cha dharau ilichokipata timu hiyo kwenye nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kutoka kwa Liverpool na kutupwa nje ya michuano hiyo Jumanne iliyopita.


Source: MwanaspotiRead More