KUTOKUZINGATIWA KWA USALAMA NA AFYA SEHEMU ZA KAZI KUNAWEZA KULETA ADHARI KUBWA ZA KIUCHUMI - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

KUTOKUZINGATIWA KWA USALAMA NA AFYA SEHEMU ZA KAZI KUNAWEZA KULETA ADHARI KUBWA ZA KIUCHUMI

Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Habari na Uhusiano wa Wakala wa Usalama na Afya Mahala Pa kazi (OSHA) Paul Gyuna (kushoto) akitoa elimu kwa mkazi wa Jiji la Tanga wakati alipotembelea banda laob kunakoendelea kuna kofanyika maonyesho ya Wiki ya Vijana Kitaifankwenye viwanja vya Tangamano mjini hapa Mkaguzi wa Afya wa Osha Blandina Reubeni akitoa elimu kwa wananchi waliotembelea banda lao. Mkaguzi wa Afya wa Osha Blandina Reubeni akitoa elimu kwa wananchi waliotembelea banda lao. Mkaguzi wa Afya wa Osha Blandina Reubeni akimpima urefu mmoja wa wananchi waliotembelea banda lao. Mkaguzi wa Afya (OSHA) Dkt Linda Katabari akimpima presha mkazi wa Jiji la Tanga ambaye alitembelea banda lao leo.Kutokuzingatiwa kwa usalama na afya sehemu za kazi kunaweza kuleta athari kubwa ya kiuchumi kwa wafanyakazi kutokana na kwamba wanaweza kukumbana na majanga makubwa hali inayopelekea kuathiri shughuli zao na kila siku na kujirudisha nyuma kimaendeleo.
Hayo yamesemwa  na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Habari n... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More