Kutuma jumbe za kawaida kupitia tovuti - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kutuma jumbe za kawaida kupitia tovuti

Kutokana na ukuaji wa teknolojia wataalam mbalimbali wameendelea kutafuta njia zaidi ya moja ambayo itamuwezesha mtu kufanya kitu kilekile ambacho anaweza kukifanya kwa kutumia simu. Tukiwa tukaribia kumaliza mwaka 2018 Google waneleta maboresho kidogo katika kuwarahisishia watumiaji wa rununu za Android kuweka kutuma/kujibu ujumbe mfupi wa maandishi kupitia tovuti ambapo itakubidi utumie kivinjari kuweza kuifikia. [...]


The post Kutuma jumbe za kawaida kupitia tovuti appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More