Kutumia nguvu ya teknologia ya simu, kuongeza thamani ya jamii na uchumi - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kutumia nguvu ya teknologia ya simu, kuongeza thamani ya jamii na uchumi


Miaka 50 iliyopita magari yalikuwa yakifanya kazi kutumia funguo, na baadae zikaja rimoti, mwaka 2020 mfumo wa compyuta unaojitegemea utawezesha magari kujiendesha kutumia mtandao wa 5G. Cha kustaajabisha zaidi miaka 50 iliyopita mtu wa kwanza alienda mwezini na sasa kampuni binafsi itapeleka roketi za kwanza zilizowezeshwa na teknologia ya 4G ambayo itafanya vitu vya duniani kuonyesha kwa mara ya kwanza picha za HD za mwezi.  Katika nyakati za sasa kampuni nyingi zimewekeza katika kuongeza thamani kwenye uchumi wa kidigitali, ambapo ubunifu wa mfumo wa kompyuta unaojitegemea umebadilisha jinsi watu wanavoishi na kuanya kazi. Mambo ambayo tulikuwa tunayaona kwenye filamu yamekuwa moja ya mambo katika jamii zetu
Ripoti ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) inasema, Tanzania itakuwa na midomo milioni 77.5 ya kulisha na angalau vijana milioni 37 wa kuelimisha ifikapo mwaka 2030. Kilimo kinaendelea kuwa uti wa mgongo wa uchumi wa Tanzania, na kinaajiri asilimia 85 ya nguvu kazi, ambapo wakuli... Continue reading ->


Source: Mwanaharakati MzalendoRead More