Kuumia Bocco kwa amnyima usingizi Aussems - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kuumia Bocco kwa amnyima usingizi Aussems

Bocco aliumia dakika ya 17 baada ya kugongana na Frank Domayo na nafasi yake kujazwa na Clatous Chama katika mchezo walioshinda mabao 4-2 na kutwaa Ngao ya Jamii kwa mara ya tatu mfululizo.


Source: MwanaspotiRead More