Kuwa Makini Sana Na Ushauri Unaopewa Na Watu Hawa, Wanakupoteza. - Hisia za Mwananchi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kuwa Makini Sana Na Ushauri Unaopewa Na Watu Hawa, Wanakupoteza.

Rafiki yangu mpendwa, Ushauri ni moja ya vitu ambavyo watu hawajawahi kukosa. Hata usipoomba ushauri, wapo ambao watajitolea kukushauri ni namna gani bora ya kufanya kile ambacho unafanya. Wengine watakaokushauri hawajawahi hata kufanya chochote kikubwa, ila wamekuwa wanasikia wengine wanashauri hivyo na wao wanakushauri pia. Hivyo ili kupata ushauri mzuri, lazima wewe unayetafuta ushauri uweke... Continue Reading →


Source: Hisia za MwananchiRead More