Kuwaona Chama, Fei Toto wakikichafua Simba, Yanga buku saba - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kuwaona Chama, Fei Toto wakikichafua Simba, Yanga buku saba

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limetangaza viingilio vya kuwaona viungo mahiri Clatous Chama wa Simba na Feisal Salum ‘Fei Toto’ katika mchezo wa Watani wa Jadi utakaochezwa Jumamosi hii kuwa ni buku saba (Sh 7,000) na 30,000.


Source: MwanaspotiRead More