Kuwaona Makambo, Kagere buku saba - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kuwaona Makambo, Kagere buku saba

KUWAONA washambuliaji wawili Meddie Kagere wa Simba na Heritier Makambo wa Yanga wawili hao wataonyeshana ubabe Septemba 30, kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kwa kiingilio cha Sh. 7000 tu. Anaripoti Kelvin Mwaipungu … (endelea). Kagere amefunga mabao matatu katika Ligi Kuu akiwa anaongoza orodha ya wafungaji baada ya kucheza mechi tatu wakati Makambo ...


Source: MwanahalisiRead More