Kuzama MV. Nyerere: Nimeachiwa mtoto anayenyonya - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kuzama MV. Nyerere: Nimeachiwa mtoto anayenyonya

SIMULIZI za Merry Mgowe, mkazi wa Kisiwa cha Ukara zinaumiza ngoma za masikio hasa baada ya kubaini kuwa, sasa yeye ndiyo mlezi kamili wa wajukuu zake watatu mmoja kati yao akiwa ananyonya. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Akiwa ufukweni mwa Ziwa Victoria katika Kisiwa cha Ukara huku akitazama maji ya ziwa hilo, anayo matumaini ya ...


Source: MwanahalisiRead More